Usalama : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Usalama''' (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: ''security'') ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii. Kujisikia salama ni kati ya haja za msingi za nafsi, hivyo kuhakikisha usalama wa ndani na nje ni kati ya majukumu muhimu zaidi ya serikali, ambayo kwa ajili hiyo inatumia jeshi, polisi n.k. {{mbegu}} Jamii:Saikolojia Jamii:Siasa'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 05:17, 22 Januari 2022

Usalama (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: security) ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii.

Kujisikia salama ni kati ya haja za msingi za nafsi, hivyo kuhakikisha usalama wa ndani na nje ni kati ya majukumu muhimu zaidi ya serikali, ambayo kwa ajili hiyo inatumia jeshi, polisi n.k.