Tofauti kati ya marekesbisho "Usalama"

165 bytes removed ,  miezi 8 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
[[File:20151030 Syrians and Iraq refugees arrive at Skala Sykamias Lesvos Greece 2.jpg|thumb|[[Wakimbizi] kutoka [[Syria]] na [[Iraq]] wakifikia [[kisiwa]] cha [[Lesbo]], [[Ugiriki]], kwa msaada wa [[Hispania|Wahispania]] waliojitolea, [[2015]].]]
'''Usalama''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: ''security'') ni hali ya kutokuwa na vurugu au hatari kwa mtu au jamii.
 
Kujisikia salama ni kati ya haja za msingi za [[nafsi]], hivyo kuhakikisha usalama wa ndani na nje ni kati ya majukumu muhimu zaidi ya [[serikali]], ambayo kwa ajili hiyo inatumia jeshi, polisi n.k.
 
Utovu wa usalama ni kati ya sababu kuu za watu kuhama nchi yao kama [[wakimbizi] .
{{mbegu}}
[[Jamii:Saikolojia]]