Wito : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wito''' (pia: mwito; kutoka kitenzi "kuita") ni agizo au kaulimbiu inayotolewa na mtu au chombo kuhamasisha au kudai watu kuhusu jambo fulani. Katika dini mbalimbali ni kama sauti kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayomuelekeza mtu fulani afanye nini katika maisha yake, kwa mfano kutoa unabii. {{mbegu}} Jamii:Dini Jamii:sheria'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Wito''' (pia: mwito; kutoka [[kitenzi]] "kuita"; kwa [[Kiingereza]]: ''call'') ni agizo au kaulimbiu inayotolewa na mtu au chombo kuhamasisha au kudai watu kuhusu jambo fulani.
 
Katika [[dini]] mbalimbali ni kama [[sauti]] kutoka kwa [[Mwenyezi Mungu]] inayomuelekeza mtu fulani afanye nini katika [[maisha]] yake, kwa mfano kutoa [[Nabii|unabii]].