Mdudu Mabawa-manyofu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza mabingwa
dNo edit summary
Mstari 32:
** [[Trigonopterygoidea]] ([[Panzi-jani]]) <small>[[Francis Walker|Walker]], 1870</small>
}}
'''Wadudu mabawa-manyofu''' ni [[wadudu]] wadogo hadi wakubwa wa [[oda]] [[Orthoptera]] katika [[nusungeli]] [[Pterygota]] (wenye [[bawa|mabawa]]). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Wadudu hawa wanajulikana sana kama [[panzi]], [[nzige]], [[nyenje (Grylloidea)|nyenje]], [[chenene]] na [[senene]] k.m.
 
Mabawa ya mbele ya wadudu hawa ni magumu kiasi na kufunika yale ya nyuma yakiwa yamekunjwa juu ya [[fumbatio]]. Mabawa ya nyuma ni kama [[kiwambo|viwambo]] na mapana upande wa msingi. Kwa kawaida mabawa ni marefu kuliko fumbatio lakini mara nyingi yako mafupi, hata mafupi sana. Zaidi ya hayo [[spishi]] nyingi hazina mabawa yoyote.