Mkoa wa Dakar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Mkoa wa Dakar''' ''(kwa [[Kifaransa|Kifar.]]: Region de Dakar)'' ni [[mkoa]] mdogo kabisa kati ya mikoa 14 ya [[Senegal]] lakini ni mkoa wa [[mji mkuu]] na pia mkoa wenye wakazi wengi.
 
Mkoa huo unajumlisha mji mkuu [[Dakar]], pamoja na [[Mji|miji]] ya karibu [[Pikine]], [[Guédiawaye]] na [[Rufisque]] kwenye [[rasi ya Cap-Vert]] ambayo ni sehemu ya [[Afrika]] [[bara]] iliyopo upande wa [[magharibi]] zaidi.
 
Mkoa wa Dakar umegawanywa katika [[wilaya]] ''(departements)'' nne.