Tofauti kati ya marekesbisho "Charles Sacleux"

2 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
Sacleux alikuwa padre wa [[shirika ya Roho Mtakatifu]].
 
Sacleux alikuwa misionari mkatoliki wa kwanza aliyeandika juu ya [[Kiswahili]]. Alitunga sarufi na [[kamusi ya Kiswahili]]. Mwaka 1891 alitoaalitunga kamusi ya "Dictionnaire Français—Swahili" iliyochapishwa 1941. Mwaka 1909 alitoa "Grammaire des dialectes Swahilis" (sarufi ya lahaja za Kiswahili). Vitabu vyote viwili vilisifiwa na wataalamu.
 
Alitunga na kutafsiri vitabu kwa Kiswahili akaandika nyimbo za kiroho zinazotumiwa hadi leo katika kanisa katoliki.