Kuzimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 1:
[[File:yggdrasil.jpg|thumb|right|200px|[[Yggdrasil]], mchoro unaojaribu kuonyesha imani ya watu wa [[Norwe]] kuhusu ahera kabla ya [[Ukristo]] kuenea nchini.]]
[[File:Patala Shesha.jpg|thumb|upright|[[Miguu]] ya [[mungu]] [[Vishnu]] wakati Kiumbe wa Kilimwengu akichora [[dunia]] na [[Ufalme|falme]] [[Saba (namba)|saba]] za [[Patala]]. Miguu inakalia [[nyoka]] [[Shesha]].]]
'''Kuzimu''' ni huko ambako [[roho]] za [[binadamu]] waovu wanasadikiwa kuendelea kuishi baada ya kufariki [[dunia]]. Kwa kawaida hufafanuliwa kuwa mahali pa kutopendeza ambapo roho huteseka milele.
 
[[Imani]] hiyo ni ya zamani sana na kujitokeza katika [[visasili]] na [[dini]] nyingi, kuanzia [[dini za jadi]].