Tenzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
 
Tenzi huweza kuwa na mpangilio wa [[silabi]] zinazolingana katika kila mstari pia haufuati urari wa mizani katika mshororo wake.
 
Sifa za utenzi
1. Huwa na vina
2. Huwa na mishororo minne
3. Vile vile utenzi huwa na mizani nane(8).
4. Beti zake huwa ni nyingi ila hazizidi zile za utendi ambao wenyewe utendi huwa na beti nyingi zenye usimulizi.
 
Mfano wa tenzi: