Shairi : Tofauti kati ya masahihisho
→Mizani
(→Ubeti) Tags: Mobile edit Mobile web edit |
(→Mizani) Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
==Mizani==
Mizani ni ulinganifu wa idadi ya silabi katika kila kipande au mistari ya ubeti wa shairi. Mara nyingi mashairi ya kimapokeo huwa na mizani nane (8) kwa kila kipande na mizani kumi na sita (16) kwa kila mstari ([[mshororo]]).
Vile vile katika mashairi mengine, mizani huwa Saba(7) kwa kila kipande huku kila mshororo ukiwa na mizani kumi na minne (14)
==Vina==
|