Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

12 bytes removed ,  miezi 8 iliyopita
no edit summary
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Kuna [[mashairi]] yanayofuata taratibu za [[mapokeo|kimapokeo]], yaani yanazingatia taratibu za [[urari]] na vina, [[mizani (ushairi)|mizani]], idadi sawa ya mistari, vituo na [[ubeti|beti]]. Mashairi hayo huwa na mizani 14 au 16 katika kila mstari, yaani mizani 7 au 8 kwa kila kipande cha mstari.
 
Pia kuna mashairi yasiyofuata utaratibu huo wa kimapokeo na huitwa mashairi ya kimamboleo. Mashairi hayo mara nyingi huwa ni [[nyimbo]].
 
;Mfano :
*Tulopeleka bungeni, wamegeuka nyang'au,
*Mafisadi kama nini, baladhuli mabahau,
 
==Aina za mashairi==
Kuna aina kuu mbili za mashairi, nazo ni kama zifuatavyoifuatavyo:
===(i) Mashairi ya kimapokeo===
Haya ni mashairi yanayozingatia kanuni za muwala/urari (ulinganifu) wa mizani, vina, idadi ya mistari katika kila [[ubeti]] na kituo katika shairi. Vilevile huitwa ''mashairi funge''.
 
==Mizani==
Mizani ni ulinganifu wa idadi ya silabi katika kila kipande au mistari ya ubeti wa shairi. Mara nyingi mashairi ya kimapokeo huwa na mizani nane (8) kwa kila kipande na mizani kumi na sita (16) kwa kila mstari ([[mshororo]]). Vile vile katika mashairi mengine, mizani huwa saba (7) kwa kila kipande huku kila mshororo ukiwa na mizani kumi na minne (14).
Vile vile katika mashairi mengine, mizani huwa Saba(7) kwa kila kipande huku kila mshororo ukiwa na mizani kumi na minne (14).
 
==Vina==
Vina ni silabi zenye [[sauti]] ya namna moja zinazotokea katikati au mwishoni mwa kila [[Mshororomshororo]] wa kila ubeti wa shairi. Hivyo basi kuna ''vina vya kati'' na ''vina vya mwisho''.
 
Ili shairi lako lihesabike kama limetimia vina, ni lazima [[herufi]] za mwisho na za kati za ubeti wako ziwe zinafanana.
Vina vya kati katika kila ubeti lazima vifanane, navyo vina vya mwisho pia ni lazima vifanane kwenye ubeti.
 
''';Mfano katika shairi:'''
 
''Baba tumekosa ni'''ni,''' wanao kutukimb'''ia''' Umetuachia na'''ni''', mwengine kukimbil'''ia.'''''
 
Vina vya kati ni "ni" navyo vya mwisho ni"ia" katika kila mshororo.
 
''Baba tumekosa ni'''ni,''' wanao kutukimb'''ia.''' Umetuachia na'''ni''', mwengine kukimbil'''ia.'''''
 
Vina vya kati ni "ni" navyo vya mwisho ni "ia" katika kila mshororo.
 
==Ubeti==
{{Fasihi simulizi}}
{{mbegu-lugha}}
 
[[Jamii:Fasihi]]
[[Jamii:Sanaa]]