Maziwa : Tofauti kati ya masahihisho

1 byte added ,  miezi 10 iliyopita
d
Badala ya kusomeka hunyewa sasa litasomeka Hunywewa
(fix file parameters)
d (Badala ya kusomeka hunyewa sasa litasomeka Hunywewa)
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
 
Nje ya lishe ya wanyama changa, maziwa hutumiwa na [[binadamu]] kama [[kinywaji]] na [[chakula]]. Watu hufuga wanyama wanaotoa maziwa, hasa [[ng'ombe]], kwa kusudi la kukamua maziwa yao. Wanyama wengine wanaofugwa na kukamuliwa kwa maziwa yao ni [[mbuzi]], [[kondoo]] na [[ngamia]], [[farasi]], [[punda]] na [[nyati]].
 
Maziwa hunyewahunywewa au kuungwa katika upishi wa chakula. Tatizo la matumizi ya maziwa ni ya kwamba yanabadilika haraka. Inakamuliwa pamoja na [[vidubini]] ndani yake na pia vidubini vilivyomo [[Hewa|hewani]] hupenda kuingia ndani yake kwa sababu maziwa yana lishe nyingi. Vidubini hivi vinasababisha kuchachuka kwa maziwa; mara nyingi [[ladha]] inaweza kubadilika kwa namna isiyotakiwa.
 
Kwa hiyo maziwa yanayotolewa kwenye [[viwanda vya maziwa]] hupata [[upasteurishaji]] na hutunzwa kwenye [[baridi]] chini ya kiwango cha [[sentigredi]] 7. Katika [[mazingira]] asilia maziwa yaliyochachuka hunyewa au, kama yameganda, huliwa.