Kilipukaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ kisawe
Mstari 2:
[[Picha:Explosions.jpg|thumb|200px|Milipuko kwenye maonyesho]]
 
'''Kilipukaji''' (pia '''kilipuzi''') <ref>Kilipukaji ni msamiati wa [[KKK/ESD]] p. 271; Kilupizi wa [[Kamusi Kuu ya Kiswahili|Kamusi Kuu]] uk. 456</ref> ni kemikali au dawa lenye sifa ya kumenyuka haraka na ghafla kwa umbo la [[mlipuko]]. [[Mmenyuko]] huu unatoa joto na gesi inayopanuka na kusababisha mshtuko.
 
Kilipukaji kinachojulikana zaidi ni [[baruti]] iliyotumiwa katika [[silaha]] lakini leo nafasi yake imechukuliwa na [[TNT]] hasa. Vingine hutumiwa kwa milipuko ama ya kijeshi au ya kiraia (ujenzi wa barabara, migodi, [[windo la mawe]]).