Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 215:
::Ndugu unaongeza wasiwasi. Makala haikuwepo tangu 2016 jinsi unavyosema; wewe ulianzisha 08:01, 2 Juni 2019. Ila matini inasema tovuti ilianzishwa 2020. Halafu uliingiza sasa habari kuwa "Tanzania Tech has raised a total of $1B in funding over 1 round." Hii inamaanisha nini? Bilioni USD moja???? Haiwezekani. Nanusu fake nzito. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:59, 14 Januari 2022 (UTC)
:::Ok '''[[Mtumiaji:Amanijoseph87|Amanijoseph87]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Amanijoseph87|majadiliano]])''' 11:28, 19 Januari 2022 (UTC)
 
==[[Naogopa]]==
Ni sawa na alivyoandika [[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] tarehe 7 Mei 2015 kuhusu [[Chocheeni Kuni]]: "Sina uhakika juu ya hali ya hakimiliki katika Tanzania kuhusu matini ya nyimbo. Nashauri mtu ajaribu kupata kibali chake, au kutoa maelezo hapo". Halafu: "Tuhamishe wikichanzo? Bado sijui mambo ya hakimiliki". --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 07:21, 1 Februari 2022 (UTC)