Umakanika kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 1:
[[File:Orbital motion.gif|thumb|right|180px|alt=animation of orbital velocity and centripetal acceleration|Jedwali la mwendo wa kandokando ya dunia.]]
'''Umakanika kawaida''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Classicalclassical mechanics'') ni sehemu ya [[fizikia]] inayoeleza jinsi [[kitu|vitu]] vya kila [[siku]] vinavyosogea na sababu za kusogea kutokana na [[nguvu]] mbalimbali. Tukijua jinsi vitu vinavyosogea sasa, tunaweza kutabiri vitakavyosogea kesho, mbali ya kutambua vilivyosogea siku za nyuma pia. Hivyo tunaweza kutumia umakanika kawaida kuzungumzia, kwa mfano, mwendo wa [[sayari]].
 
Vitu tusivyoviona, kwa mfano kutokana na udogo wake, au vinavyosogea [[kasi]] mno, vinahitaji kuchunguzwa kwa [[umakanika kwanta]] ambao ni sehemu ya pili ya [[umakanika]].
 
Vitu tusivyoviona, kwa mfano kutokana na udogo wake, au vinavyosogea [[kasi]] mno, vinahitaji kuchunguzwa kwa [[umakanika kwanta]] ambao ni sehemu ya pili ya [[umakanika]].
==Tanbihi==
{{Reflist}}