Papai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+pic
 
Mstari 1:
[[Picha:Koeh-029.jpg|thumb|Papai.]]
[[Picha:Papaya - longitudinal section.jpg|thumb]]
'''Papai''' ni [[tunda]] la [[mpapai]] ("Carica papaya"), [[mti]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Caricaceae]]. Una [[asili]] ya [[Amerika ya Kusini]] na [[Amerika ya Kati|ya Kati]] na unakuzwa huko [[Meksiko]], [[karne]] kadhaa kabla ya kuibuka kwa tamaduni mpya za huko [[Amerika]].