Toba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.6
 
Mstari 13:
 
==Katika Ukristo==
[[Ungamo la Augsburg]] linagawa toba pande mbili: "Mmoja ni majuto, yaani [[hofu]] inayochoma [[dhamiri]] kwa kutambua dhambi; wa pili ni [[imani]] ambayo inatokana na [[Injili]] au [[ondoleo]], na kusadiki kwamba kwa ajili ya Kristo, dhambi zinasamehewa, na kufariji dhamiri na kuiokoa kutoka hofu."<ref name=AC>{{cite web |url=http://www.bookofconcord.org/augsburgconfession.php#article12 |title=Augsburg Confession, Article XII: Of Repentance |publisher=Bookofconcord.org |date= |accessdate=2012-09-20 |archivedate=2021-03-11 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20210311215248/https://bookofconcord.org/augsburg-confession/#article12 }}</ref>
 
Katika baadhi ya [[madhehebu]] ya Ukristo, kama ya [[Wakatoliki]] na ya [[Waorthodoksi]], toba inaweza kukamilishwa na [[sakramenti]] maalumu inayoitwa [[Kitubio]] au Upatanisho.