Kituo cha transfoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Electrical_Substation.JPG|right|thumb|300x300px| Kituo cha 115 kV hadi 41.6/12.47 kV 5000 kVA 60 Hz chenye swichi ya saketi, vidhibiti, vifunga tena na jengo la kudhibiti.]]
'''Kituo cha transfoma''' (kwa [[Kiingereza|ing.]] ''electrical substation''''')''' ni kituo tanzu katika mfumo wa kuzalisha na kusambaza [[umeme]] ambapo [[volteji]] inabadilishwa kutoka juu hadi chini au kinyume chake kwa kutumia [[transfoma]]<ref>{{cite web|title=Joint Consultation Paper: Western Metropolitan Melbourne Transmission Connection and Subtransmission Capacity|url=https://jemena.com.au/getattachment/industry/electricity/Network-planning/Western-metropolitan-Melbourne-transmission-connection-and-subtransmission-capacity.pdf.aspx|website=Jemena|publisher=Powercor Australia, Jemena, Australian Energy Market Operator|access-date=4 February 2016}}</ref>. [[Nishati]] ya umeme inaweza kutiririka kupitia vituo vya transfoma kadhaa kati ya kituo cha kuzalisha kwa upande mmoja na watumiaji kwa upande mwingine. Humo volteji ya umeme unaweza kubdilishwakubadilishwa mara kadhaa.
 
Ilhali umeme hufika kwa mtumiaji kama [[mkondo geu]] kwa volteji ya [[volti]] 230, unapitishwa kwenye [[waya|nyaya]] kwa [[umbali]] mkubwa kwa [[umbo]] la [[mkondo mnyofu]] mwenyewenye volti [[elfu]] kadhaa. Kwa hiyo vituavituo vya transfoma vinahitajika kubadilisha mkondo wa umeme kutoka volteji ya juu kwa umbali kubwamkubwa hadi volteji ya kati kwa umbali mdogo hadi volteji ya V 230 kwa matumizi ya manyumbani[[nyumba|nyumbani]].
 
== Marejeo ==