Wikipedia:Mwongozo (Muundo) : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
==Dirisha la hariri na WYSIWYG==
Unaandika katika dirisha la uhariri. Humo huoni umbo la maandishi jinsi inavyotokea baadaye. Maana hapa hakuna kile kinachoitwa "[[WYSIWYG]]" ("What You See Is What You Get ''unachoona ni sawa kile kinachotokea''").
 
Badala yake Wikipedia hutumia misimbo (codes) inayosababisha kutokea kwa maandishi manene, makubwa, madogo, ya rangi, vichwa au viungo na kadhalika. Hii ni lugha ya kompyuta ya pekee inayoitwa wikitext ikifanana na [[HTML]] lakini imerahisishwa.