Cherekochereko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Nixon with daughter Tricia marriage 1971.jpg|thumb|Harusi ni mfano wa tukio lenye cherekochereko.]]
'''Cherekochereko''' ni ile hali ya kusheherekea jambo fulani (mfano [[harusi]], [[kipaimara]], [[mahafali]], [[siku ya kuzaliwa]] n.k.).
 
Katika cherekochereko kunakuwa na [[vyakula]] na [[vinywaji]] mbalimbali.
 
Mara nyingi cherekochereko hufanywa wakati wa harusi na kipaimara.
 
{{Mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Sherehe]]
[[Jamii:Sikukuu]]