Urias McGill : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha: Urias-A-McGill.jpg |thumb|'''Urias Africanus McGill''']]
'''Urias Africanus McGill''' ([[1823]] – [[1866]])<ref name="NPG">{{cite web | title=A Durable Memento: Portraits by Augustus Washington, African American Daguerreotypist | website=National Portrait Gallery | url=http://www.npg.si.edu/exh/awash/mcgill.htm | access-date=2019-01-13}}</ref> alikuwa [[chotara]] wa Kiafrika na Kimarekani ambaye alihamia nchini [[Liberia]] na [[familia]] yake mnamo [[karne ya 19]].<ref name="liberiapastandpresent">{{cite web |url=http://www.liberiapastandpresent.org/19thcColonist.htm |archive-url=https://web.archive.org/web/20040223143823/http://www.liberiapastandpresent.org/19thcColonist.htm |archive-date=2004-02-23 |url-status=dead |title=Liberia: 19th Century Colonists |accessdate=2015-11-09 }}</ref>
 
Alikuwa mmoja wa wanafamilia katika familia iliyojulikana sana ya McGill (Monrovia), yeye na kaka zake walianzisha biashara ambazo zina mafanikio makubwa huko [[Monrovia]].<ref name=NPG /><ref name="Fogelson Library 2012">{{cite web | title=Black History Month, Week 4: PHOTOGRAPHERS | website=Fogelson Library | date=2012-02-22 | url=http://fogelsonblog.blogspot.com/2012/02/black-history-month-week-3.html | access-date=2019-01-13}}</ref>
 
== Biografia ==
Urias McGill alizaliwa huko [[Baltimore, Maryland]], [[baba]] yake akiwa George R. na [[mama]] yake akiwa Angelina McGill. Alipokuwa na [[umri]] wa miaka nane, yeye pamoja na na familia yake walihamia nchini Liberia. Mama yake alifariki muda mfupi baada ya wao kufika Monrovia mnamo [[Februari]] mwaka [[1831]]. Mnamo mwaka [[1854]] Urias na [[kaka]] zake watatu waliunda [[kampuni]] ya [[biashara]] ya ''McGill Brothers''.<ref name="ACS">{{cite book|title=The African Repository|author=American Colonization Society|date=1872|volume=48|publisher=American Colonization Society.|url=https://books.google.com/books?id=Id2GOKHCbRQC&pg=PA299|page=299|accessdate=2015-11-09}}</ref>
 
==Marejeo==