Kichina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Sauti na toni: ni Kimandarini
Mstari 7:
== Idadi ya Wasemaji ==
Idadi ya wasemaji wa lugha za Kichina ni takriban 1,200,000,000 au zaidi ya watu bilioni moja. Hadi mwanzo wa karne ya 20 tofauti kati ya lugha na lahaja illikuwa kubwa sana. Tangu [[mapinduzi ya China ya 1911]] aina ya lugha rasmi imejengwa inayoitwa [[Mandarin]]. Siku hizi inajadiliwa au angalau kueleweka kati ya idadi kubwa ya Wachina wote. Bado wasemaji wa lugha zote za Kichina huelewana kupitia mwandiko - kama ni wasomi.
 
== Sauti na toni ==
Tabia ya pekee ya lugha za Kichina ni tofauti kubwa kati ya toni za sauti. Silabi "ma" inaweza kuwa na maana 4 tofauti kabisa kufuatana na matamshi tofauti ya toni.
 
{|class="prettytable"
!Toni ya 1
!Toni ya 2
!Toni ya 3
!Toni ya 4
|-
|toni ileile ya juu
|toni yapanda juu
|toni yashuka <br />na kupanda juu
|toni ya <br />kushuka vikali
|-
|mā=mama
|má=bangi
|mǎ=farasi
|mà=kutukana
|-
|colspan="4"|[[Picha:4 Toene des Hochchinesischen.svg|400px|left]]
|}
 
== Lugha na lahaja kuu za Kichina ==