Kichina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Sauti na toni: ni Kimandarini
Mstari 6:
 
== Idadi ya Wasemaji ==
Idadi ya wasemaji wa lugha za Kichina ni takriban 1,200,000,000 au zaidi ya watu bilioni moja. Hadi mwanzo wa karne ya 20 tofauti kati ya lugha na lahaja illikuwa kubwa sana. Tangu [[mapinduzi ya China ya 1911]] aina ya lugha rasmi imejengwa inayoitwa [[MandarinKimandarini]]. Siku hizi inajadiliwa au angalau kueleweka kati ya idadi kubwa ya Wachina wote. Bado wasemaji wa lugha zote za Kichina huelewana kupitia mwandiko - kama ni wasomi.
 
== Lugha na lahaja kuu za Kichina ==