96,347
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Picha:Hindustani0804.PNG|thumbnail|Neno "Hindustani" kwa maandishi ya Devanagari na Kiarabu.]]
[[Picha:Map-Hindustani World.png|thumb|
'''Kihindustani''' (pia: '''Kihindi-Kiurdu''') ni [[lugha]] ya pamoja
Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja na [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].▼
▲Kinahesabiwa kuwa kati ya [[lugha za Kihindi-Kiajemi]] ndani ya [[lugha za Kihindi-Kiulaya]]. Lugha za karibu ni pamoja [[Kipunjabi]], [[Kisindhi]], [[Kigujarati]], [[Kimarathi]] na [[Kibengali]].
Kabla ya ugawaji wa [[Uhindi ya Kiingereza]] [[mwaka]] [[1947]] [[jina|majina]] kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana ileile na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii [[neno]] "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan, pia mara nyingi kwa ajili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano: "Fiji Hindi" na Hindustani ya [[Surinam]].▼
▲Maandishi ni tofauti kila nchi, yaani upande wa Pakistan kinaandikwa kwa [[herufi za Kiarabu]] na upande wa Uhindi kwa herufi za [[Devanagari]]. Lakini kama lugha ya majadiliano hakuna tofauti. [[Sarufi]] ni sawa, lakini kuna kiasi cha tofauti katika [[msamiati]] hasa, katika lugha ya maandishi. Upande wa Kiurdu / Pakistan kuna maneno mengi zaidi yenye asili ya [[Kiarabu]], [[Kituruki]] na [[Kiajemi]]. Upande wa Uhindi waandishi hutumia zaidi maneno yenye asili katika [[Kisanskrit]].
▲Kabla ya ugawaji wa [[Uhindi ya Kiingereza]] mwaka [[1947]] majina kama Hindustani, Urdu, na Hindi yalikuwa na maana ileile na kutumiwa kwa mchanganyiko. Leo hii neno "Hindustani" bado hutumiwa kwa lugha inayozungumzwa kote Uhindi kaskazini na Pakistan, pia mara nyingi kwa ajili ya lugha ya Wahindi wanaokaa nje ya Uhindi tangu muda mrefu kwa mfano: "Fiji Hindi" na Hindustani ya [[Surinam]].
==Viungo vya nje==
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/hind1270 Lugha za Kihindustani katika Glottolog]
{{DEFAULTSORT:Hindustani}}
[[Jamii:Lugha za Kihindi-Kiajemi]]
|