Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Nimeongeza viungo Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit |
Nimeongeza viungo Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit |
||
Mstari 1:
[[Picha:Raila Odinga.jpg|thumb|250px|Raila Amolo Odinga]]
'''Raila Amolo Odinga''' (alizaliwa [[7 Januari]] [[1945]]) ni mwanasiasa
Alikuwa mbunge wa Langata kuanzia 1992 hadi 2007. Raila Odinga alihudumu kwenye baraza la mawaziri la Kenya kama waziri wa nishati kuanzia 2001 hadi 2002, na baadaye kama waziri wa barabara, kazi ya umma na makazi kuanzia 2003 hadi 2005. Odinga aliteuliwa kuwa mwakilishi wa juu wa maendeleo ya miundombinu katika Umoja wa Afrika mwaka wa 2018.
mwanasiasa wa upinzani nchini [[Kenya]] na tangu [[13 Aprili]] [[2008]] [[waziri mkuu]] nchini humo hadi 2013. Aliwahi kuwa mbunge tangu [[1992]] na waziri katika serikali ya rais Mwai Kibaki kati ya [[2001]] hadi [[2005]]. Katika uchaguzi wa mwaka [[2007]] alikuwa mgombea wa urais upande wa [[Orange Democratic Movement]] (ODM). Ajulikana kote Kenya kwa jina lake la kwanza Raila. Waluo wenzake hupenda kumwita "Agwambo" ama "[[Baba]]".
== Utoto na familia ==
|