Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 4:
Alikuwa mbunge wa Langata kuanzia 1992 hadi 2007. Raila Odinga alihudumu kwenye baraza la mawaziri la Kenya kama waziri wa nishati kuanzia 2001 hadi 2002, na baadaye kama waziri wa barabara, kazi ya umma na makazi kuanzia 2003 hadi 2005. Odinga aliteuliwa kuwa mwakilishi wa juu wa maendeleo ya miundombinu katika Umoja wa Afrika mwaka wa 2018.
 
Ajulikana kote Kenya kwa jina lake la kwanza Raila, Rao au '''''baba'''''. Watu wanaotoka kwenye kabila lake la waluo hupenda kumwita '''''Agwambo'''''', '''''Tinga''''' ,'''''Nyundo]''''' ama pia hujulikana sana kama '''''[[Baba]]'''''.
 
== Utoto na familia ==