Bwawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 155.12.12.134 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
No edit summary
Mstari 10:
}}
</ref>.
 
== Aina ==
 
=== Mabwawa katika mabonde ===
[[Picha:Haweswater_from_Harter_Fell_3.jpg|right|thumb|Bwawa la Haweswater linalosambaza maji [[Manchester]], [[Uingereza]].]]
Lambo lililojengwa katika bonde hutegemea [[Topography|topografia]] asilia kwa kutoa bonde la bwawa. Malambo kwa kawaida huwekwa katika sehemu nyembamba ya bonde asilia la mto. Pande za [[bonde]] hutenda kama [[Ukuta|kuta]] asilia, bwawa likiwa katika sehemu nyembamba zaidi inayoweza kujengwa ili kupatia lambo nguvu na kudidimisha [[gharama]] ya [[ujenzi]]. Katika miradi ya ujenzi wa mabwawa, watu na vitu vilivyobuniwa kale huhamishwa. Kwa mfano, [[Mahekalu ya Abu Simbel]]<ref>{{cite web|url=http://whc.unesco.org/en/list/88|title=Nubian Monuments from Abu Simbel to Philae|author=UNESCO World Heritage Centre|publisher=|accessdate=20 September 2015}}</ref> (ambavyo vilihamishwa kabla ya ujenzi wa [[Lambo la Aswan]] na kutengeneza [[Ziwa la Nasser|Ziwa Nasser]] kutoka [[Nile|Nili]], [[Misri]]), kuhamishwa kwa kijiji cha [[Capel Celyn]] wakati wa ujenzi wa [[Llyn Celyn]].<ref name=":0">''Capel Celyn, Ten Years of Destruction: 1955–1965'', Thomas E., Cyhoeddiadau Barddas & Gwynedd Council, 2007, {{ISBN|978-1-900437-92-9}}</ref>
 
Ujenzi wa bwawa katika bonde kwa kawaida huhitaji mto kuchepuliwa wakati wa ujenzi, mara nyingi kwa upenyo wa muda ardhini au mlizamu.<ref>Construction of Hoover Dam: a historic account prepared in cooperation with the Department of the Interior. KC Publications. 1976. {{ISBN|0-916122-51-4}}.</ref>
 
=== Bwawa kando ya mto ===
Wakati maji yanapovutwa kwa [[pampu]] kutoka mto kwa kiwango kikubwa, mabwawa ya kando ya mto yanaweza kujengwa kuhifadhi maji. Mabwawa hayo, yanaweza kuchimbiwa nafasi au kuzingirwa kwa kuta.<ref name="ICEQueenMary">{{cite web|url=http://www.icevirtuallibrary.com/content/article/10.1680/dare.2009.19.2.79|title=ICE Virtual Library: Queen Mary and King George V emergency draw down schemes|author=Bryn Philpott-Yinka Oyeyemi-John Sawyer|publisher=|accessdate=20 September 2015}}</ref> Kuta na [[sakafu]] za bwawa lazima ziwe hazipenyeki. Kwa mfano, mfumo wa usambazaji maji wa London hutumia mabwawa ya kando ya mto: maji hutolewa [[Mto Thames]] na [[Mto Lea]] na kuhifadhiwa katika mabwawa, k. v. [[Bwawa la Malkia Mary]].
 
 
 
== Matumizi ==
 
=== Usambazaji wa moja kwa moja ===
Mabwawa mengi yaliyojengwa kutumia lambo na yaliyo kando ya mto hupelekwa kwenye vituo vya usafishaji maji kisha kusambazwa kwa mfereji. 
[[Picha:Ndakaini Dam 12.JPG|thumb|Maji ya Ndakaini hutumiwa na wakazi wa [[Nairobi|Jiji la Nairobi]]]]
 
=== Umememaji ===
[[Picha:Hydroelectric_dam.svg|right|thumb|Bwawa la kuzalisha umeme]]
Bwawa la uzalishaji [[umememaji]] huwa na [[Water turbine|tabo]] zikiwa zimening'inia kwenye maji. Vifaa vya [[uzalishaji umeme]] vinaweza kuwa katika sehemu ya chini ya lambo au mbali kidogo. Kwa mto ulio katika mahali [[tambarare]], bwawa linafaa kuwa kina cha kutosha ili kutengeneza nafasi ya maji kupitia tabo; na kama kuna vipindi vya ukame bwawa linafaaa kushikilia maji ya kutosha ili kutosheleza mto. 
 
Baadhi ya mabwawa ya kuzalisha umememaji hurejesha maji ndani ya bwawa wakati mahitaji ya umeme yako chini, na kutumia maji yaliyohifadhiwa kuzalisha umeme wakati mahitaji yatapanda. <ref>{{cite web|url=http://www.fhc.co.uk/pumped_storage.htm|title=First Hydro Company Pumped Storage|publisher=|deadurl=yes|archiveurl=https://web.archive.org/web/20100729074951/http://www.fhc.co.uk/pumped_storage.htm|archivedate=29 July 2010|df=dmy-all}}</ref>
 
=== Kudhibiti maji ===
Bwawa linaweza kutumika kudhibiti jinsi maji yanavyotiririka:
 
: '''Usambazaji wa maji''' – maji yanaweza kutolewa kutoka hifadhi ya maji iliyo juu na kutumiwa kama maji ya kunywa.
 
: '''Umwagiliaji''' - maji katika bwawa la [[umwagiliaji]] linaweza kusambazwa kwa [[Mfereji|mifereji ya maji]] kwa ajili ya matumizi katika [[Shamba|mashamba]] au mifumo ya upili ya maji.<ref>{{cite web|url=http://www.ukia.org/eabooklets/EA%20Reservoir%20booklet_final.pdf|title=Irrigation UK|publisher=|accessdate=20 September 2015}}</ref>
 
[[Picha:Lake Nasser (2428567060).jpg|thumb|Ziwa Nasser hutumika katika umwagiliaji.<ref>{{cite web|lake, Africa|Britannica.com|title=Lake Nasser|url=https://www.britannica.com/place/Lake-Nasser|accessdate=2018-04-17}}</ref>]]
 
: '''Kudhibiti mafuriko''' – mabwawa ya kudhibiti mafuriko hukusanya maji katika nyakati za mvua kubwa kupita kiasi, kisha kutolewa polepole wakati baada ya wiki au miezi.
 
: '''Mifereji ya maji''' – Ambapo mkondo wa maji hauwezi kubadilishwa, bwawa linaweza kujengwa ili kuhakikisha kiwango kizuri cha maji katika mfereji: kwa mfano, ambapo mfereji unapanda kupitia malango milimani.<ref>{{cite web|url=http://www.huddersfield1.co.uk/huddersfield/narrowcanal/huddscanalres.htm|title=Huddersfield Narrow Canal Reservoirs|publisher=|accessdate=20 September 2015|deadurl=yes|archiveurl=https://web.archive.org/web/20011223100940/http://huddersfield1.co.uk/huddersfield/narrowcanal/huddscanalres.htm|archivedate=23 December 2001|df=dmy-all}}</ref>
 
[[Picha:KupferbachStauseeAachen.jpg|right|thumb|Bwawa la mapumziko tu karibu na  [[Aachen]], [[Ujerumani]].]]
 
: '''Burudani''' – maji yanaweza kufunguliwa kutoka bwawa ili kutengeneza hali nzuri ya kuwezesha michezo ya majini.<ref>{{cite web|url=http://www.ukrafting.co.uk/waterinfo.htm|title=Canoe Wales – National White Water Rafting Centre|publisher=|accessdate=20 September 2015}}</ref> 
 
=== Burudani ===
Kuna mabwawa ambayo huruhusu burudani k.v. [[uvuvi]] na uendeshaji [[mashua]]. Kwa mfano, [[Bwawa la Masinga]] huwa na eneo la [[utalii]] kando na uzalishaji umeme.
 
== Athari kwa mazingira ==
 
=== Biolojia ===
Malambo yanaweza kuwa kizuizi cha samaki ambao huhama kulingana na msimu. Wanaeza kuwa chakula cha nyuni wa majini. Wanaweza pia kuwa wengi sana katika [[Ecosystem|mfumo wa ikolojia]] na kusababisha kutoweka kwa [[spishi]].
 
=== Athari kwa binadamu ===
Mabwawa yanaweza kupunguza sana kiasi cha maji ya kinachofikia nchi zilizo chini mwa mkondo wa mto, na kusababisha uhaba wa maji, kwa mfano [[Sudan]] na [[Misri]] katika [[Nile|Mto Nili]].
 
== Marejeo ==
Line 16 ⟶ 69:
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Maziwa]]
[[Jamii:Malambo]]