Lenzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Historia: + dengu
Mstari 15:
 
== Historia ==
[[Neno]] "lenzi" linatokana na neno la [[Kiingereza]] ''Lens'' ambalo limetokana na [[Kilatini]] "lentil," kwa sababu lenzi za awali zilikuwa na umbo kama [[kundemdengu|dengu]].
 
[[Rekodi]] ya zamani ya [[maandishi]] ya lenzi ya [[Kigiriki]] ya [[Aristophanes]], inatujulisha ya kwamba lenzi zilitumiwa kukusanya [[Mwali|miale]] ya [[jua]] ili kufanya [[moto]]