Soumia Benkhaldoun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{vyanzo}}
'''Soumia Benkhaldoun''' (alizaliwa mwaka [[1963]]) ni [[mhandisi]] wa Moroko, mwanasiasa na [[mwanaharakati]] wa haki za binadamu (usawa wa kijinsia)
 
Benkhaldoun ni mhitimu wa [[École Mohammadia d'ingénieurs]] chuo cha uhandisi cha [[moroko]]. alianza kufanya kazi kama mhandisi wa taifa mwaka 1986, alikua [[profesa]] katika chuo cha Ecole Superieure de Technologie Fès kati ya 1987 na 1994, na kisha katika Chuo Kikuu cha Ibn Tofail kati ya 1994 na 2006. piah amefanya kazi kama mtaalam wa maendeleo ya wanawake na shirika la [[ISESCO]], elimu ya uislam , utafiti na maendeleo ya kitamaduni kwa kuongezea piah alikua ni seem ya taasisi mbali mbali za kutetea usawa wa kijinsia<ref>https://www.moroccoworldnews.com/2013/10/108446/profile-of-soumia-benkhaldoun-minister-delegate-to-the-minister-of-higher-education-scientific-research/</ref>