Tofauti kati ya marekesbisho "Gallia"

1 byte removed ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
d (Reverted edits by 91.152.133.200 (Talk); changed back to last version by MelancholieBot)
Gallia ilikuwa jina la [[kilatini]] kwa ajili maeneo yaliyokaliwa na "Wagallia". Hili ilikuwa namna jinsi [[Roma ya Kale|Waroma wa Kale]] walivyowaita majirani wao [[Wakelti]].
 
Kijiografia eneo hili lilijumlisha [[Ufaransa]], [[Uswisi]], [[Ubelgiji]] na [[Italia]] ya Kaskazini ya leo. Wakelti au Wagallia walikalia pia [[Uingereza]] ya Kusini (=[[BritanniaBritania]]) na [[Hispania]] (=[[Iberia]]) lakini maeneo haya hayakuhesabiwa kuwa sehemu ya "Gallia" na Waroma. Wakelti walikuwa pia kati ya wakazi wa kale wa [[Ujerumani]] kabla ya uvamizi huko wa [[kigermanik|Wagermanik]] wenyewe.
 
==Habari za Gallia==