Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
52,006
edits
(kiungo) |
No edit summary |
||
[[Image:LocationIslandGreatBritain.png|thumb|300px|Kisiwa cha Britania kati ya Ueire (Ireland) na Ulaya bara]]
'''Britania''' ni kisiwa kikubwa cha [[Ulaya]] chenye eneo la 229,850 km² pia kisiwa kikubwa cha nane duniani. Kwenye
Britania iko katika [[Atlantiki]] kati ya [[Bahari ya Ueire]] (Ireland) na [[Bahari ya Kaskazini]]. Pamoja na visiwa vya [[Ueire]] (Eireland), [[Faroe]], [[Isle of Man Man]] na visiwa vingi vidogo ni sehemu ya [[funguvisiwa ya Britania]].
Britania huteganishwa na Ulaya bara kwa [[Mfereji wa Kiingereza]]. Mji wa [[Dover]] katika Uingereza ya kusini una umbali wa 34 km na mji wa [[Calais]] katika Ufaransa.
Jina la Britania limetokana na [[Dola la Roma|Waroma wa Kale]] waliovamia kisiwa na kufanya sehemu ya kusini kuwa jimbo la dola lao. Jimbo la [[Britania ya Kiroma]] liliunganisha nchi za Uingereza na Welisi za leo.
Leo kuna
Visiwa katika mfereji wa Kiingereza na kisiwa cha Isle of Man viko chini ya malkia au mfalme wa Uingereza lakini si sehemu za Ufalme wa Maungano.
|