Matunzio ya Kitaifa ya Sanaa ya Kisasa, Lagos : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#Wiki4Uni
 
#Wiki4Uni
Mstari 1:
[[Picha:2009 National Arts Theatre Lagos Nigeria 6350723082.jpg|thumb|'''Matunzio ya Kitaifa ya Sanaa ya Kisasa, Lagos''']]
'''Matunzio ya Kitaifa ya Sanaa ya Kisasa, Lagos''' ni jumba kuu la sanaa huko [[Lagos]], jiji kubwa zaidi la [[Nigeria]]. Ni maonyesho ya kudumu ya Matunzio ya Kitaifa ya [[sanaa]], yaliyo chini ya shirika la serikali la Wizara ya Shirikisho ya Utalii, Utamaduni, na Mwelekeo wa Kitaifa. Nyumba hii ya sanaa iko ndani ya Ukumbi wa sanaa wa kitaifa, kwenye Mlango B.<ref>{{Cite web|title=National Gallery of Art|url=https://web.archive.org/web/20110508094616/http://www.nga.gov.ng/|work=web.archive.org|date=2011-05-08|accessdate=2022-03-16}}</ref>