Wilfried Zaha : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Wilfried Zaha 17-12-2016 1.jpg|thumb|180px|right|Wilfried Zaha]]
'''Dazet Wilfried Armel Zaha''' (alizaliwa [[10 Novemba]] [[1992]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] na ambaye anacheza kama [[mshambuliaji]] wa klabu ya [[Crystal Palace]] na [[timu ya taifa]] ya [[Ivory Coast]].
Zaha alijiunga na [[timu]] ya Crystal Palace kutoka katika kituo cha kufundishia soka mwaka [[2010]]. Katika msimu wake wa kwanza alifunga mabao 18 katika mashindano yote. Mnamo [[Januari]] [[2013]], alihamishiwa [[Manchester United]] kwa ada ya awali ya £ 10 [[milioni]] (mchezaji wa gharama kubwa zaidi wa Crystal Palace aliyeuzwa wakati huo). Zaha alirudi Palace [[Agosti]] [[2014]] kwa [[Mkopo (fedha)|mkopo]] wa muda mrefu, kabla ya kusaini mkataba wa kudumu mwezi [[Februari]] [[2015]]. Tangu wakati huo amekuwa mchezaji wa 12 mwenye mabao mengi kwenye klabu hiyo.<ref>{{Cite web|last=www.holmesdale.net|first=Holmesdale Online|title=All-time top scorers|url=https://www.holmesdale.net/page.php?id=317|access-date=2020-12-09|website=Holmesdale Online}}</ref>
Alizaliwa nchini Ivory Coast, na alikulia [[Uingereza]] akiwa na [[umri]] wa [[miaka]] minne. Alichezea timu ya taifa ya Uingereza mwaka 2012, akionekana katika mechi mbili zisizo za ushindani. Baada ya kutochezea Uingereza kwa miaka minne, alijiunga na timu ya taifa ya Ivory Coast kabla ya [[Kombe la Mataifa ya Afrika]] 2017.
{{reflist}}▼
==
▲{{reflist}}
{{Mbegu-cheza-mpira}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1992]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Cote d'Ivoire]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Afrocuration Project 2022 Tanzania]]
|