Tuzo ya Sao Paulo ya Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
'''Tuzo ya Sao Paulo ya Fasihi''' ({{lang-pt|kwa Kireno: Prêmio São Paulo de Literatura}}) ni tuzo ya fasihi ya KibraziliBrazil ambayo hutolewa kwa ajili ya riwaya zilizotungwa kwa lugha ya Kireno na kuchapishwa nchini Brazil. Tuzo hii ilianzishwa mnamo mwaka wa 2008 na Waziri wa Utamaduni wa [[Jimbo la São Paulo]]. Ijapokuwa si la kale sana kama jinsi zilivyo tuzo zingine za fasihi huko nchini Brazili kama Prêmio Machado de Assis.
 
Tuzo hii ya São Paulo imechupukia haraka zaidi na kupata sifa kubwa mno. Kwa mfano, mwaka wa 2011, kulikuwa na mawasilisho 221 kwa ajili ya ugawaji wa tuzo.<ref>{{cite web|title=R$200,000 São Paulo Literary Award Shortlist Announced|url=http://publishnewsbrazil.com/2011/06/sao-paulo-literary-award-shortlist-announced/|work=Publish News Brazil|accessdate=16 March 2013|archivedate=2012-07-21|archiveurl=https://archive.is/20120721210651/http://publishnewsbrazil.com/2011/06/sao-paulo-literary-award-shortlist-announced/}}</ref>
Mstari 25:
{{marejeo}}
 
[[Jamii:Tuzo za fasihi]]
[[Jamii:Tuzo|Sao Paulo ya Fasihi]]