ASEC Mimosas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''ASEC Mimosas''' (jina kamili ni ''Association Sportive des Employés de Commerce Mimosas'') kwa maana halisi ni ''Chama cha Wafanyakazi wa Biashara wa Mimosas'', ni klabu ya soka yenye makao yake katika mji wa Abidjan. Klabu hiyo pia inajulikana hasa katika mashindano ya kimataifa ya klabu kama ''ASEC Mimosas Abidjan'' au ''ASEC Abidjan''. Ilianzishwa mwaka 1948, na kuwa klabu yenye mafanikio zaidi katika soka wa Cote...'
 
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.6
Mstari 1:
'''ASEC Mimosas''' (jina kamili ni ''Association Sportive des Employés de Commerce Mimosas'') kwa maana halisi ni ''Chama cha Wafanyakazi wa [[Biashara]] wa Mimosas'', ni klabu ya [[soka]] yenye [[makao]] yake katika [[mji]] wa [[Abidjan]]. Klabu hiyo pia inajulikana hasa katika [[mashindano]] ya kimataifa ya klabu kama ''ASEC Mimosas Abidjan'' au ''ASEC Abidjan''.
 
Ilianzishwa [[mwaka]] [[1948]], na kuwa klabu yenye mafanikio zaidi katika soka wa [[Cote d'Ivoire|Ivory Coast]], baada ya kushinda [[Ligi]] Kuu ya Ivory Coast mara 24 na Ligi ya Mabingwa ya CAF mwaka [[1998]].<ref>{{cite web |url=http://www.abidjan.net/qui/profil.asp?id=39 |title=Asec Mimosas (Club sportif)&nbsp;– Abidjan.net Qui est qui ? |publisher=Abidjan.net |date=21 September 1960 |accessdate=2022-03-20 |archivedate=2018-06-12 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20180612140506/http://abidjan.net/qui/profil.asp?id=39 }}</ref>
[[Picha:StadeFHB.jpg|thumb|180px|right|Uwanja wa nyumbani wa timu ya ASEC Mimosas <br> uwezo - 50,000]]
Kituo cha kufundisha soka cha ''ASEC's Académie MimoSifcom'' kimezalisha idadi ya [[wachezaji]] maarufu zaidi wanaocheza na waliocheza katika ligi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na [[Bonaventure Kalou]], [[Didier Zokora]], [[Emmanuel Eboué]], [[Bakari Koné]], [[Gervinho]], [[Salomon Kalou]], [[Romaric]], [[Boubacar Barry]], [[Didier Ya Koné]] na, [[Kolo Toure]], [[Yaya Toure]] na [[Odilon Kossounou]], ambao wote wamecheza soka kimataifa.<ref>{{cite web|url=http://www.lexpressmada.com/index.php?p=display&id=6345 |title=L'Express de Madagascar : Actualités en direct, politiques, économies, sports, cultures, madagascar, afrique, monde |publisher=Lexpressmada.com }}</ref>