Wilfried Zaha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Wilfried Zaha 17-12-2016 1.jpg|thumb|180px|right|Wilfried Zaha]]
'''Dazet Wilfried Armel Zaha''' alizaliwa tarehe 10 Novemba [[ mwaka 1992]]) ni.Ni [[mchezaji]] wa [[soka]] anayecheza kama [[mshambuliaji]] katika klabu ya [[Crystal Palace]] na [[timu ya taifa]] ya [[Ivory Coast]].
 
Zaha alijiunga na [[timu]] ya Crystal Palace kutoka katika kituo cha kufundishia soka mwaka [[2010]]. Katika msimu wake wa kwanza alifunga mabao 18 katika mashindano yote. Mnamo [[Januari]] [[2013]], alihamishiwa [[Manchester United]] kwa ada ya awali ya £ 10 [[milioni]] (mchezaji wa gharama kubwa zaidi wa Crystal Palace aliyeuzwa wakati huo). Zaha alirudi Palace [[Agosti]] [[2014]] kwa [[Mkopo (fedha)|mkopo]] wa muda mrefu, kabla ya kusaini mkataba wa kudumu mwezi [[Februari]] [[2015]]. Tangu wakati huo amekuwa mchezaji wa 12 mwenye mabao mengi kwenye klabu hiyo.<ref>{{Cite web|last=www.holmesdale.net|first=Holmesdale Online|title=All-time top scorers|url=https://www.holmesdale.net/page.php?id=317|access-date=2020-12-09|website=Holmesdale Online}}</ref>