Microsoft : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
No edit summary
Mstari 24:
'''Microsoft Corporation''' ni [[kampuni]] ya kimataifa ya [[teknolojia]] ya [[kompyuta]]. <ref name="2005annual">{{cite web | title= Microsoft Corporation Annual Report 2005 | url= http://www.microsoft.com/msft/ar05/downloads/MS_2005_AR.doc | publisher = Microsoft | format = doc | accessdate= 1 Oktoba | accessyear=2005}}</ref> Neno "Microsoft" ni [[neno unganifu]] lilitokana na maneno ya [[Kiingereza]] "microcomputer" na "software".
 
Kampuni ilianzishwa na William Henry Gates III (anayefahamika zaidi kama [[Bill Gates]]) na [[Paul Allen]] mnamo [[424 Aprili]] [[19751977]], ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za [[Altair 8800]]. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama [[Microsoft- Disk Operating System]] (MS-DOS) katikati ya [[miaka ya 1980]], ikifuatiwa na programu ya [[Microsoft Windows]]<ref name="keyevents">{{cite web |title=Information for Students: Key Events In Microsoft History |url=http://www.microsoft.com/about/companyinformation/visitorcenter/student.mspx |publisher=Microsoft Visitor Center Student Information |accessdate=1 Oktoba 2005 |format=doc}}</ref>.
 
[[Makao makuu]] yako [[Redmond, Washington]], [[Marekani]].
Mstari 30:
Kampuni hii inaendeleza, kutengeneza, kutoa leseni, kusaidia na kuuza [[programu]] za kompyuta, vifaa vya umeme, kompyuta binafsi pamoja na huduma zihusianazo na hizo. Programu yake ya kompyuta ijulikanayo sana ni mfumo ongozo wa kompyuta wa [[Microsoft Windows]], na programu nyingine kama vile, [[Microsoft Office]], na [[Internet Explorer]] pamoja na [[Edge Web]]. Vifaa vyake maarufu ni vifaa michezo vya Xbox pamoja na mfumo wa [[kioomguso]] uitwao [[Microsoft Surface lineup]] kwa ajili ya kompyuta binafsi.
 
Kwa mwaka wa 2016, ndiyo kampuni kubwa duniani yenye kutengeneza programu za kompyuta kwa makusanyo ya jumla, na ni moja kati ya kampuni zenye thamani kubwa zaidi duniani. Microsoft ni kampuni iliyoko nafasi ya 3031 katika orodha ya mwaka 2018 ya Fortune 500 ya mashirika makuu makubwa ya Marekani na mapato ya jumla.
 
== Tanbihi ==