Microsoft : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
'''Microsoft Corporation''' ni [[kampuni]] ya kimataifa ya [[teknolojia]] ya [[kompyuta]]. <ref name="2005annual">{{cite web | title= Microsoft Corporation Annual Report 2005 | url= http://www.microsoft.com/msft/ar05/downloads/MS_2005_AR.doc | publisher = Microsoft | format = doc | accessdate= 1 Oktoba | accessyear=2005}}</ref> Neno "Microsoft" ni [[neno unganifu]] lilitokana na maneno ya [[Kiingereza]] "microcomputer" na "software".
 
Kampuni ilianzishwa na William Henry Gates III (anayefahamika zaidi kama [[Bill Gates]]) na [[Paul Allen]] mnamo `~` 0[[4 Aprili]] [[1977]], ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za [[Altair 8800]]. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama [[Microsoft- Disk Operating System]] (MS-DOS) katikati ya [[miaka ya 1980]], ikifuatiwa na programu ya [[Microsoft Windows]]<ref name="keyevents">{{cite web |title=Information for Students: Key Events In Microsoft History |url=http://www.microsoft.com/about/companyinformation/visitorcenter/student.mspx |publisher=Microsoft Visitor Center Student Information |accessdate=1 Oktoba 2005 |format=doc}}</ref>.
 
[[Makao makuu]] yako [[Redmond, Washington]], [[Marekani]].