Udikteta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Benito Mussolini and Adolf Hitler.jpg|thumb|200px|[[Benito Mussolini]] na [[Adolf Hitler]] walikuwa madikteta wa [[Italia]] na [[Ujerumani]] waliofuata mfumo wa [[ufashisti]] hadi waliposhindwa katika [[Vita vikuu vya pili]].]]
[[Picha:S Abacha.jpg|thumb|200px|[[Sani Abacha]] alikuwa [[dikteta wa kijeshi]] wa [[Nigeria]] miaka [[1993]] hadi [[1998]].]]
'''Udikteta''' (kutoka [[neno]] lenye [[asili]] ya [[Kilatini]]: ''dictator''; pia: '''imla''' kutoka [[Kiarabu]]) ni [[mfumo]] wa [[utawala]] wa nchi ambapo [[mtu]] mmoja asiyebanwa na [[sheria]] wala [[katiba]] anashika [[madaraka]] ya [[serikali]] na ana uwezo wa kuyatumia jinsi anavyoamua mwenyewe.
 
== Udikteta wa mtu mmoja au wa kundi ==
Mtu huyu anaitwa "[[dikteta]]" ingawa [[cheo]] rasmi mara nyingi ni "[[rais]]" au "kiongozi wa taifa". Wakati mwingine neno "udikteta" unataja pialinataja hali ambakoambayo [[kundi]] la watu linashika madaraka yale kwa pamoja, kwa mfano [[kamati]] ya [[Jeshi|wanajeshi]] waliochukua madaraka ya serikali.
 
Aina nyingine ni [[udikteta wa chama]]. Mfano wa [[historia|kihistoria]] ulikuwa udikteta wa [[chama cha kikomunisti]] katika [[Urusi]], [[China]] na nchi zilizofungamana nazo. Mfano mwingine ni mfumo wa [[ufashisti]] katika [[Italia]] na [[Ujerumani]] hadi [[mwaka]] [[1945]].
 
== Ufalme na udikteta ==
Katika historia mfumo wa [[ufalme]] ambakoambapo [[mfalme]], [[sultani]], [[kaisari]] au [[mtemi]] anashika madaraka yote pekeepeke yake kwa kawaida huitwihauitwi udikteta. Lakini pale ambakoambapo mfalme anapuuza katiba ya [[taifa]] na kutwaa madaraka ambayo si yake kikatiba anaweza kuitwa dikteta pia.
 
== Udikteta wa kijeshi ==
Aina ya udikteta inayotokea mara kadhaa [[duniani]] ni udikteta wa kijeshi ambao [[Kiongozi|viongozi]] wa jeshi wamechukua madaraka ya serikali kwa nguvu ya [[silaha]] zao. Hii ilikuwa njia hasa ya udikteta kuenea [[Afrika]] baada ya [[uhuru]] kwa sababu katika nchi nyingi za Afrika wanajeshi walipindua serikali na kutwaa madaraka kwa [[muda]] fulani.
 
== Tabia za udikteta ==
=== Sheria na Hakihaki za binadamu ===
Kila nchi inahitaji [[sheria]] na pia udikteta hauwezi kuongoza bila sheria. Lakini [[tabia]] muhimu ya udikteta ni ya kwamba dikteta ana nafasi au uwezo wa kupuuza sheria au kufanya maazimio nje ya sheria na hakuna njia ya kumlazimisha kutii sheria.
 
Mara nyingi uhuru na [[haki]] za wananchi zimepungukiwazimepunguzwa sana au kuondolewa kabisa kwenye mfumo wa udikteta. TabiaKumbe tabia muhimu ya [[demokrasia]] ni [[mgawanyo wa madaraka]] na humo uhuru wa [[mahakama]]. Katika udikteta serikali inateua mahakimu na kuingilia kati katika maazimio ya [[kesi]]. Kama kesi inaangaliwa na serikali ni kawaida ya kwamba hukumu huamuliwa nje ya mahakama.
 
[[Polisi]] inapewa nafasi ya kuwatesa watu na hii ni aina ya [[adhabu]] bila sheria wala mahakama. Mara nyingi polisi zinapewa pia nafasi ya kuua watu hovyo au kuwafunga ndani bila kesi kusikilizwa mahakamani.
 
=== Uchaguzi bandia ===
Utaratibu wa [[uchaguzi]] huru haufuatwi. Katika nchi kadhaa uchaguzi hufutwa kabisa kwa miaka mingi. Lakini mara nyingi kuna uchaguzi bandia badala ya uchaguzi huru. Kati ya njia mbalimbali za kuathiri matokeo ya uchaguzi ni:
* kuteuliwa kwa wagombea na serikali na kukataliwa kwa wote ambao serikali haipendezwi nao.
* [[mfumo wa chama kimoja]] ambakoambamo viongozi wana nafasi ya kufukuza watu ambao hawapendezi katika [[Chama cha kisiasa|chama]] na kuwatenga hivyo na [[siasa]].
* kutawala usimamizi wa uchaguzi na kutangaza matokeo kufuatana na mipango ya uongozi, si kutokana na [[kura]] zake ama uchaguzi hautokei au serikali inateua wagombea ikiondoa wapinzani wote au uchaguzi unaamuliwa awali na serikali ya kidikteta.
yake ama uchaguzi hautokei au serikali inateua wagombea ikiondoa wapinzani wote au uchaguzi unaamuliwa awali na serikali ya kidikteta.
 
=== Uhuru wa maoni ===
Uhuru wa maoni unabanwa au hata kupigwa marufuku kabisa. Serikali inasimamia [[vyombo vya habari]] kama [[Gazeti|magazeti]], [[redio]] na [[televisheni]]. Kutolewa kwa maoni yasiyopendwa na serikali ni vigumukugumu. Hata hivyo kuna tofauti kwa sababu kuna udikteta ambako kuna kiwango fulani cha nafasi ya kupinga maazimio ya serikali kwenye ngazi za chini kwa mfano [[mji|mjini]] au [[wilaya|wilayani]], hali za [[barabara]] au [[rushwa]] ya watumishi wadogo wa serikali. Lakini udikteta hauruhusu [[Upinzani|upinzani]] unaoendelea kueleza uhusiano kati ya makosa madogo na muundo wa serikali. Upinzani dhidi ya viongozi wa juu haukubaliwi.
 
Jambo la kawaida ni uteuzi wa habari zitakazoonekana kwenye vyombo vya habari. Nchi kadhaa zinajaribu pia kukataza habari za nje kufika. Katika [[Ujerumani ya Mashariki]] kwa miaka kadhaa [[antena]] za TV zilizoelekea [[magharibi]] zilipigwa marufuku kwa sababu serikali ilitaka kuzuia upatikanaji wa TV ya [[Ujerumani ya Magharibi]]. Katika [[Korea ya Kaskazini]] wananchi wa kawaida hawana nafasi ya kuangalia [[intaneti]]. [[Jamhuri ya Watu wa China|China]] inatumia mitambo mingi inayojaribu kuzuia habari fulani kupitia intaneti; kuna [[Maunzilaini|programu]] ambazo zinazuia kuangalia kurasa zenye [[jina]] la “[[Dalai Lama]]” anayehofiwa kama mpinzani wa serikali.
 
==Viungo vya nje==