Raila Odinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Raila Odinga.jpg|thumb|250px|Raila Amolo Odinga]]
'''Raila Amolo Odinga''' (alizaliwa [[7 Januari]] [[1945]]) ni [[mwanasiasa]] kutoka [[Kenya]] aliyehudumu kama waziri[[Waziri mkuu]] kutoka mwaka wa 2008 hadi 2013. Anadhaniwa kuwa kiongozi wa upinzani nchini Kenya kuanzia 2013 kwani [[Katiba ya Kenya|katiba mpya]] ya Kenya haina nafasi hii.
 
Alikuwa mbunge wa Langata kuanzia 1992 hadi 2007. Raila Odinga alihudumu kwenye baraza la mawaziri la Kenya kama waziri wa nishati kuanzia 2001 hadi 2002, na baadaye kama waziri wa barabara, kazi ya umma na makazi kuanzia 2003 hadi 2005. Odinga aliteuliwa kuwa mwakilishi wa juu wa maendeleo ya miundombinu katika Umoja wa Afrika mwaka wa 2018.
Mstari 7:
 
== Utoto na familia ==
Alizaliwa [[1945]] katika familia ya [[Waluo]] akiwa mtoto wa chifu [[Jaramogi Oginga Odinga]] aliyekuwa makamu wa rais wa kwanza nchini Kenya. Baba yake alikuwa kiongozi mkuu wa Waluo akatazamiwa baadaye kama mpinzani mkuu wa rais wa kwanza [[Jomo Kenyatta]].
 
Kaka yake Raila, Oburu Odinga amekuwa mwanasiasa na mbunge vilevile.
 
Line 24 ⟶ 25:
Raila alionekana katika siasa mara ya kwanza baada ya jaribio la [[Mapinduzi ya kijeshi ya [[1982]] nchini Kenya]]. Raila asiyewahi kuwa mwanajeshi alishtakiwa kushiriki katika mipango hii akakamatwa akafungwa katika nyumba yake kwa miezi sita na kutupwa jela bila hukumu jumla miaka nane kati ya 1982-1988, 1988-1989 na 1990-1991. Wakati ule alikanusha mashtaki lakini kutokana tawasifu iliyotolewa mwaka 2006 imeonekana ya kwamba alikuwa na habari kuhusu mipango ya mapinduzi.
 
Mwaka 1991 Raila aliondoka Kenya kukimbilia [[Norwei]] akihofia maisha yake. Baada ya serikali ya Moi kubadilisha katiba na kuruhusu vyama vya upinzani akarudi na kujiunga na chama cha FORD ([[Forum for the Restauration of Democracy]]) kilichoongozwa na babake. Katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi akachaguliwa kama mbunge wa jimbo la Lagata mjini [[Nairobi]].
 
Katika mafarakano ya FORD aliendelea upande wa babake katika [[Ford-Kenya]]. Baada ya kifo cha baba akagombea uongozi wa FORD-Kenya akashindwa na [[Michael Wamalwa]] akaondoka na kujiunga na chama kidogo cha National Development Party NDP akifuatwa na wabunge wengi wa chama kutoka eneo la Waluo.
Line 59 ⟶ 60:
Katika [[kura za maoni]] tangu Septemba 2007 Raila alionekana mbele akielekea kuwa na nsu ya maoni yote au hata kidogo zaidi wakati rais Kibaki alifikia kiwango cha takriban 40 % pekee.
 
Uchaguzi mwenyewewenyewe ulikuwa na matatizo kwa sababu matokeo ya kwanza yalimwonyesha Raila kuwa na kura nyingi lakini Tume la Uchaguzi lilisimamisha matangazo ya matokeo ghafla. Matangazo yaliyofuata baada ya siku mbili ghafla yalimwonyesha Rais Kibaki kuwa na kura nyingi akaapishwa haraka bila kusubiri muda wa kisheria kwa malalamiko. Odinga alitangazwa na [[ODM-Kenya|ODM]] kama mshindi wa kweli na farakano hili lilisababisha ghasia kali sana zilizoendelea kukaribia hali ya vita ya wenyewe kwa wenyewe. Watu wengi walifukuzwa katika maeneo hasa ya [[Mkoa wa Bonde la Ufa (Kenya)|Bonde la Ufa]] na pia katika mitaa ya vibanda kwenye miji mbalimbali kufuatana na kabila yao. Baada ya vifo ya watu maelfu na kuporomoka kwa uchumi nchini majadiliano kati ya pande zote mbili chini ya [[Kofi Annan]] yalileta maelewano juu ya kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa na Kibaki kama rais na Raila kama waziri mkuu.
 
== Kinara wa azimio la Umoja ==
Raila Odinga <ref>{{Cite web|title=Uhuru to grace Raila's crowning as Azimio flagbearer at KICC » Capital News|url=https://www.capitalfm.co.ke/news/2022/03/uhuru-to-grace-railas-crowning-as-azimio-flagbearer-at-kicc/|work=Capital News|date=2022-03-12|accessdate=2022-03-27|language=en-US|author=Davis Ayega}}</ref>Mwaka mwaka wa 2022 alivikwa taji yala kuwania urais mara ya nne katikakwa tiketi ya [[Azimio la Umoja]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== MarejeoViungo ya Njenje ==
* [https://twitter.com/RailaOdinga Ukurasa wa Raila Odinga wa Twita]
* [http://www.raila2007.com Raila Odinga - official website] {{Wayback|url=http://www.raila2007.com/ |date=20070928123414 }}