Apolo (mitholojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
aya ya kwanza
No edit summary
Mstari 22:
'''Apolo''' (kwa [[Kiatika]], [[Kiionia]], na [[Kihomeri]]: Ἀπόλλων, ''Apollōn'' (jen.: Ἀπόλλωνος); kwa [[Kidoriki]]: Ἀπέλλων, ''Apellōn''; kwa [[Kiarkadokupro]]: Ἀπείλων, ''Apeilōn''; kwa [[Kieolia]]: Ἄπλουν, ''Aploun''; kwa [[Kilatini]]: Apollō) ni [[jina]] la [[mungu]] wa [[nuru]], jua, muziki, ukweli, uponyajji, ugonjwa, upigaji wa mishaly, na [[ushairi]] katika [[mitholojia ya Kigiriki]] na [[Mitholojia ya Kirumi|Kirumi]]. Yeye ni mwana wa Zeu<ref>{{Citation|title=Zeu|date=2013-03-11|url=https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Zeu&oldid=899682|work=Wikipedia, kamusi elezo huru|language=sw|access-date=2022-03-31}}</ref> na Leto na ndugu pacha wa Artemi<ref>{{Citation|title=Artemi|date=2017-04-18|url=https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Artemi&oldid=995641|work=Wikipedia, kamusi elezo huru|language=sw|access-date=2022-03-31}}</ref>.<ref>{{Citation|title=Apollo|date=2022-03-28|url=https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Apollo&oldid=1079745647|work=Wikipedia|language=en|access-date=2022-03-31}}</ref>
 
Kwa [[asili]] alikuwa mungu[[Mungu]] wa Kigiriki lakini [[ibada]] yake ilisambaa mapema katika [[Roma ya Kale]] pia. Wakati mwingine aliabudiwa kwa jina la Kiroma Phoebus.
 
==Marejeo==
{{Reflist}}
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Miungu wa Kigiriki]]