Iwiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 36:
 
Kijiji hiki, pamoja na kuwa na vitongoji kumi vinahudumiwa na zahanati moja tu.
Kata ya Izyira ina Jumla ya vijijivitongoji vinne ambavyo ni Izyira, Masewe, Inuka na Mapita ikiwa ni kijiji kilichotokea baada ya kugawa kijiji cha Izyira
 
Mwaka 2014 kijiji cha Izyira kilipata hadhi ya kuwa kata yaani kata ya Izyira ambayo ina vijiji vitatu na vitongoji tajwa hapo juu imeweza kuingizwa kwenye mradi wa kujenga kituo cha afya kwenye kata hiyo. Kituo hiki kinajengwa katika eneo la kitongoji cha Inuka eneo hili ni eneo ambalo liko katikati ya kata hii ya Izyira lakini pia eneo hili linalojengwa kituo cha afya lina historia yake pamoja na kuwa katikati ya kata ya Izyira.
 
Eneo hili ndipo ilipoanzishwa shule ya kwanza kabisa enzi kabla hata nchi hii haijapata Uhuru ya pata miaka 70 iliyopita ,hivyo nj jambo la busara kwa uamuzi uliotolewa na kikao kilichofanya maamuzi hayo kulienzi eneo hilo japo watu wengi hawajui nini maana ya kujenga kituo katika eneo hilo.
 
Ninatoa pongezi za dhati kwa uongozi wa wilaya ya Mbeya kuona kuwa ni vyema kujenga kituo cha afya katika kata hii kwa kuwa kama ujenzi huu utakamilika ni msaada mkubwa kwa ukanda huu wa kusini mwa wilaya ya Mbeya vijijini kuwa na huduma hii ya Kituo cha AFYA kwa sababu kata hii wananchi wajke walikuwa wana pata shida sana hasa akina mama na watoto wanapohitaji huduma ya matibabu ilikuwa inawalazimu kusafiri umabali mrefu kupata matibabu kwani iliwalazimu kwenda wilaya ya Ileje, ama kwenda na kusafili umbali wa kupata matibabu hospitali ya Mkoa wa Songwe ambayo zamani ilikuwa ni hospital ya wilaya ya Mbozi katika mji wa Vwawa ama hospitali ya binafasi ya Mbozi mission.
 
Kituo hiki kinajengwa kwa nguvu za wananchi na mpaka sasa kipo hatua ya kujenga msingi asilimia kubwa ya ujenzi wa kituo hiki nai nguvu za wananchi kwa kuwa hujitolea matofali ,mawe,mchanga na mafundi ambapo shughuli hii inaendeshwa kwa njia inayoitwa mpango wa (nguvu kazi) maendeleo yanayofanyika kila Jumanne ya kila wiki ................nitaendelea kuwalete taarifa zaidi kila ninapopata jipya katika akaunti yangu mimi Moja Kazimoto Kabenga wengine walizoea kuniita mwangalanani kazimoto kabenga
 
==Marejeo==