Global Positioning System : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
kipokeaji |
||
Mstari 1:
[[Picha:ConstellationGPS.gif|thumb|350px|Satelaiti za GPS zinazozunguka Dunia; rangi ya buluu inaonyesha kupatikana kwa satelaiti kwa
'''Global Positioning System''' ([[kifupi]]: '''GPS''', maana yake: '''Mfumo wa uongozaji kote duniani''') ni mfumo wa Marekani wa kupima na kutambua kwa makini kila mahali [[duniani]] ukitumia [[satelaiti]]. Ni [[mfumo wa uongozaji kwa satelaiti]] unaotumika zaidi duniani.
==Misingi==
[[Satelaiti]] kama 30 zinazunguka Dunia [[muda]] wote kwenye [[njia]] maalum katika [[anga-nje]] ya karibu. Zinakaa [[kilomita]] 20,000 - 25,000 juu ya uso wa ardhi na kutumia [[saa]] 12 hivi kuzunguka Dunia. Zinatuma muda wote [[ishara]] za [[redio]] duniani.
Hali halisi umakini wa GPS unategemea [[kifaa]] ulichonacho. Kama si vizuri tofauti za [[mita]] 100 zinaweza kuonyeshwa. Matumizi katika mazingira ya [[Jengo|majengo]] marefu, ndani ya majengo au penye [[milima]] mikali inaathiri umakini pia kwa sababu vizuizi hivyo vinaweza kuzuia ishara ya satelaiti [[moja]] au zaidi.
Mstari 11:
==Mwongozo wa safari==
[[Picha:Mapas Digitales 2 (cropped).jpg|300px|thumb|Kifaa cha GPS kwenye gari kinaonyesha ramani pamoja na njia ya kuelekea]]
Vipokezi vya GPS vinapatikana katika [[simujanja]] na vifaa vingine vinavyotumiwa katika [[magari]], [[eropleni]] na [[meli]]. Vifaa hivyo ni kama [[kompyuta]] ndogo ambayo inatumia pia [[ramani]] ya nchi au Dunia pamoja na habari za [[barabara]] na hali zake. Kwa njia hiyo [[programu]] za GPS zinazounganishwa na
==Mifumo mbalimbali ya GPS==
|