Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
makosa ya tahajia yamerekebishwa; kiwakilishi "sisi" na namna za vitenzi zinazolingana nacho vimeondolewa, kama ifaavyo kamusi elezo
No edit summary
Mstari 6:
Hii ndiyo sababu watu wanatembea ardhini ilhali hawawezi kuelea hewani: kwa sababu masi ya Dunia inawavuta kuelekea kitovu chake. Inavuta kila kitu chenye masi kuelekea kitovu chake. Na sisi pia watu wanaivuta Dunia, lakini kani hii ni ndogo mno kulingana na masi kubwa mno ya Dunia. Dunia yetu imeshikwa na mvuto mkali wa graviti ya Jua na hii ndiyo sababu ya Dunia kubaki karibu na Jua katika obiti na haiwezi kutoroka kwenda mbali na Jua.
 
Graviti ni kani isiyo na kikomo lakini athira yake inapunga kadri magimba yako mbali. Inasababisha mata ya anga-nje kupangwa kwa nyota, mawingu, galaksi na makundi ya galaksi.
==Mifano ya athira ya graviti==
Jiwe likitupwa hewani, litaanguka chini. Hii ni kwa sababu, ingawa kani ya mkono ilipeleka jiwe kwenda juu, kani ya graviti ya Dunia inapunguza kasi ya jiwe na hatimaye inalirudisha jiwe ardhini.