Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
Mawazo ya [[wachoraji]] kuhusu kani ya mvutano.]]
[[Picha:ParabolicWaterTrajectory.jpg|thumbnail|Mwendo wa [[maji]] yanayotoka kwenye [[nozeli]] kuelekea juu unabadilishwa mwelekeo wake kwa umbo la [[parabola]] kutokana na nguvu ya graviti ya dunia.]]
'''Graviti''' (kutoka [[Kiingereza]]: "gravity"; pia: '''kani ya mvutano''', '''kanimvutano''', '''nguvu ya uvutano''', '''nguvu mvutano''') ni [[kani]] ya uvutano iliyopo kati ya [[gimba|magimba]] yote ya [[ulimwengu]]. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yote yenye masi.
 
Hii ndiyoNdiyo sababu watu wanatembea ardhini ilhali hawawezi kuelea [[hewa|hewani]]: kwa sababu masi ya [[Dunia]] inawavuta kuelekea kitovu[[kiini]] chake. Inavuta kila [[kitu]] chenye masi kuelekea kitovukiini chake. Na sisi pia watu wanaivutatunaivuta Dunia, lakini kani hiihiyo ni ndogo mno kulingana na masi kubwa mno ya Dunia. Dunia yetu imeshikwa na mvuto mkali wa graviti ya [[Jua]] na hii ndiyo sababu ya Dunia kubaki karibu na Jua katika [[obiti]] na haiwezi kutoroka kwenda mbali na Jua.
 
Graviti ni kani isiyo na kikomo lakini athira yake inapungainapungua kadrikadiri magimba yakoyalivyo mbali. Inasababisha [[mata]] ya [[anga-nje]] kupangwa kwa [[nyota]], [[Wingu|mawingu]], [[galaksi]] na [[Kundi|makundi]] ya galaksi.
 
[[Isaac Newton]] anajulikana kama [[mtaalamu]] aliyeweza kueleza graviti kwa mara ya kwanza kama utaratibu wa kimsingimsingi wa [[sayansi]].
 
==Mifano ya athira ya graviti==
[[Jiwe]] likitupwa hewani, litaanguka chini. Hii ni kwa sababu, ingawa kani ya [[mkono]] ilipeleka jiwe kwenda juu, kani ya graviti ya Dunia inapunguza kasi ya jiwe na hatimaye inalirudisha jiwe ardhini.
 
[[Tabia]] ya kuvutana inaonekana vyema kati ya Dunia na [[Mwezi]]. Dunia ni kubwa, inauvuta Mwezi na kuushika kwenye [[njia]] yake ya kuzunguka Dunia. Lakini wakati huohuo Mwezi unavuta pia Dunia na hii inaonekana [[bahari|baharini]] katika mabadiliko ya [[maji]] [[Maji kujaa na kupwa|kupwa]] na maji [[Maji kujaa na kupwa|kujaa]] kila [[siku]]. Maji ya bahari huvutwa na Mwezi kiasi kwamba kwenye sehemu ya Dunia inayotazama Mwezi, maji ya bahari yaliyo moja kwa moja chini ya Mwezi huinuliwa [[kiasi]] cha [[nusu]] [[mita]] juu ya [[wastani]] wa [[Usawa bahari wastani|usawa wa bahari]] yote.
 
{{mbegu-fizikia}}