Papa Agatho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Agatho.png|thumb|right|Papa Agatho.]]
'''Papa Agatho''' alikuwa [[Papa]] kuanzia [[tarehe]] [[27 Juni]] [[678]] hadi [[kifo]] chake tarehe [[10 Januari]] [[681]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>. Alitokea [[Sicilia]], [[Italia]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref><ref>{{cite book|author1=Jeffrey Richards|title=The Popes and the Papacy in the Early Middle Ages: 476–752|date=1 May 2014|publisher=Routledge|isbn=9781317678175|page=270}}</ref>.
 
Inasemekana kwamba alikuwa na [[umri]] wa zaidi ya miaka [[mia moja]] alipochaguliwa kuwa Papa, na alikuwa ametunza [[hazina]] ya [[Kanisa]] kwa miaka mingi<ref name=Butler>[http://www.bartleby.com/210/1/102.html Butler, Alban. "St. Agatho, Pope", ''The Lives of the Saints'', Vol. I, 1866].</ref>.
 
Wakati wa Upapa wake ulifanyika [[Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli]] ([[680]]-[[681]]) [[dogma|uliofundisha rasmi]] kwamba [[Yesu]], chini ya [[utashi]] wake wa [[Mungu|Kimungu]], alikuwa na utashi wa [[binadamu|kibinadamu]] pia<ref>{{cite book|author1=Hubert Cunliffe-Jones|title=A History of Christian Doctrine|date=24 April 2006|publisher=A&C Black|isbn=9780567043931|page=233|edition=reprint}}</ref>.
 
Alimfuata [[Papa Donus]] akafuatwa na [[Papa Leo II]].