Ancona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:AnkonPanorama.jpg|thumb|300px|[[Bandari]] ya Ancona.]]
'''Ancona''' (kutoka [[Kigiriki]]: Ἀγκών, Ankṓn, yaani "[[bandari]]") ni [[makao makuu]] wa [[mkoa]] wa [[Marche]], [[Italia ya Kati]].
 
[[Mji]] ulianzishwa na [[Wagiriki wa Kale]] kutoka [[Siracusa]] [[mwaka]] [[387 KK]].
 
Kwa sasa una wakazi 101,331 na hivyo ni wa 43 nchini [[Italia]].