Papa Leo IX : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
'''Papa Leo IX''' ([[21 Juni]] [[1002]] – [[19 Aprili]] [[1054]]) alikuwa [[Papa]] kuanzia [[tarehe]] [[2 Januari|2]] au [[12 Februari]] [[1049]] hadi [[kifo]] chake<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>. Alitokea [[Alsace]], leo nchini [[Ufaransa]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>.
 
[[Jina]] lake la kuzaliwa lilikuwa ''Bruno wa Eguisheim-Dagsburg''<ref>Coulombe, Charles A., ''Vicars of Christ: A History of the Popes'', (Citadel Press, 2003), 204.</ref>.
 
Alimfuata [[Papa Damaso II]] akafuatwa na [[Papa Viktor II]].
 
Akielekea [[Roma]] kwa ajili ya kutawazwa, alikutana na [[abati]] [[Ugo wa Cluny]] na kumchukua [[mmonaki]] Hildebrando ambaye akaja kuwa [[Papa Gregori VII]]<ref>{{Cite web|title=Leo IX (Bruno von Egisheim und Dagsburg), Pope {{!}} Saints Resource|url=http://saintsresource.com/leo-ix-pope|access-date=2020-07-07|website=saintsresource.com}}</ref>.
 
Alikuwa Papa bora kutoka [[Ujerumani]] katika [[Karne za Kati]], akijitahidi kupambana na maovu ya wakati ule<ref>Butler, Alban, ''Butler's Lives of the Saints'', (Liturgical Press, 2003), 176.</ref>, ingawa kutokana na [[utawala]] wake lilitokea [[farakano]] na [[Waorthodoksi|Kanisa la Kigiriki]] ([[Farakano la mwaka 1054]])<ref>Brett Edward Whalen, ''Dominion of God: Christendom and Apocalypse in the Middle Ages'' (Harvard University Press, 2009), p. 24.</ref> .
 
Alitangazwa na [[Papa Gregori VII]] kuwa [[mtakatifu]] mwaka [[1082]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
Kweli alikuwa Papa bora kutoka [[Ujerumani]] katika [[Karne za Kati]], ingawa wakati wa [[utawala]] wake lilitokea [[farakano]] na [[Waorthodoksi|Kanisa la Kigiriki]] ([[Farakano la mwaka 1054]]).
 
==Tazama pia==
Line 28 ⟶ 30:
 
== Viungo vya nje ==
{{commons category|Leo IX}}
*[http://www.newadvent.org/cathen/09160c.htm Papa Leo IX katika ''Kamusi Elezo ya Kikatoliki'']
{{Mapapa}}