Papa Leo IX : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6:
Alimfuata [[Papa Damaso II]] akafuatwa na [[Papa Viktor II]].
 
Akielekea [[Roma]] kwa ajili ya kutawazwa, alikutana na [[abati]] [[UgoHugo wa Cluny]] na kumchukua [[mmonaki]] Hildebrando ambaye akaja kuwa [[Papa Gregori VII]]<ref>{{Cite web|title=Leo IX (Bruno von Egisheim und Dagsburg), Pope {{!}} Saints Resource|url=http://saintsresource.com/leo-ix-pope|access-date=2020-07-07|website=saintsresource.com}}</ref>.
 
Alikuwa Papa bora kutoka [[Ujerumani]] katika [[Karne za Kati]], akijitahidi kupambana na maovu ya wakati ule<ref>Butler, Alban, ''Butler's Lives of the Saints'', (Liturgical Press, 2003), 176.</ref>, ingawa kutokana na [[utawala]] wake lilitokea [[farakano]] na [[Waorthodoksi|Kanisa la Kigiriki]] ([[Farakano la mwaka 1054]])<ref>Brett Edward Whalen, ''Dominion of God: Christendom and Apocalypse in the Middle Ages'' (Harvard University Press, 2009), p. 24.</ref> .
 
Alitangazwa na [[Papa Gregori VII]] kuwa [[mtakatifu]] [[mwaka]] [[1082]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.