Papa Alexander I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Pope Alexander I.jpg|thumb|right|Papa Alexander I.]]
'''Papa Alexander I''' alikuwa [[Papa]] kuanzia takriban [[108]]/[[109]] hadi [[kifo]] chake takriban [[116]]/[[119]]<ref>https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father</ref>. Alitokea [[Roma]], [[Italia]]<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/51675</ref>.
 
Alimfuata [[Papa Evaristus]] akafuatwa na [[Papa Sixtus I]].
Mstari 6:
Taarifa mbalimbali zinadokeza kuwa Alexander alichangia sana ustawi wa [[liturujia]] na [[Dayosisi|jimbo]] kwa jumla.
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]], pengine [[mfiadini]], ingawa hatajwi tena katika [[Martyrologium Romanum]].
 
[[Sikukuu]] yake ni tarehe [[3 Mei]] au [[16 Machi]].
Mstari 31:
*[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/14049/Saint-Alexander-I# Encyclopaedia Britannica: ''Saint Alexander I'']
{{Mapapa}}
{{mbegu-Papa}}
{{DEFAULTSORT:Aleksanda I}}
[[Jamii:Waliozaliwa karne ya 1]]