Konyagi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Konyagi TZ.jpg|Chupa kubwa ya Konyagi| thumb]]
'''Konyagi''', ni [[kinywaji]] kikali cha [[kileo]] kinachotengenezwa nchini Tanzania. Inapatikana kwa kiwango cha [[alikoholi]] cha asilimia 35.
 
Jina lake limetokana neno la Kifaransa "[[cognac]]" lakini tofauti na hiyo konyagi hutengenezwa kutokana na [[molasi]] ya miwa inayopatikana wakati wa kutengeneza [[sukari]]. Kwa hiyo ina msingi sawa na kileo cha [[rum]] ya [[visiwa vya Karibi]] lakini ladha si vile.